Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Nov 16, 2009 #1 Je nchi gani duniani inayoongoza kuvunja haki za kibinadamu? Na katika afrika ni nchi gani inayoongoza kuvunja haki za kibinadamu? Na sisi wabongo tupo katika hizo nchi zinazovunja haki za kibinadamu? Naomba jibu kwa wana jf wenzangu asanteni.
Je nchi gani duniani inayoongoza kuvunja haki za kibinadamu? Na katika afrika ni nchi gani inayoongoza kuvunja haki za kibinadamu? Na sisi wabongo tupo katika hizo nchi zinazovunja haki za kibinadamu? Naomba jibu kwa wana jf wenzangu asanteni.