KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Nimejaribu kucheki sana internet, nimegundua kitu inaitwa candida ni aina ya fungus fulani hivi. Nimepaa ni kwanini ugonjwa uo unawapata watu.
Japo mara nyingi unakuta mtu anautando mweupe mdomoni ila pia kuna uvumi kuwa wale wanaofanya mapenzi ya kunyonyana sehemu za siri hupatwa sana na risk hii(sina uhakika maana hata sijajuaga hilo penzi lina ladha gani)π
Wakati mwingine unakauka nakuwa kma kidonda kilichokaukia, ila wengine pia huwa wanakuwa na ukoko mpaka sehemu za siri(kwenye ngozi ya pumbu"Scrotum")
Sasa naombeni kuuliza wapendwa tiba yake kubwa hasa ni ni nini?
Angalizo wale ambao wanajiona wanautani sana hata hawajui kipi kipo serious siwataki hapa na wale wa madongo madongo siwataki kabisa hapa.