Ndugu zanguni,
Najua hapa kuna wataalam wa kiswahili hivyo nataka nijue tu kabla sijamkosea mtu kama nikimuita mtu -------- nakuwa nimemtukana au nimetaja upeo wake?
Hili neno halipo kwenye kamusi yetu ya kihehe hivyo nimeshindwa kupata tafsiri kamili
JITAMBUE!