Nauliza Tu Ile G7 ipo Tabata au Malamba? asee vijana wanatafuta hela Kwa shida alafu zinaenda kuisha kizembe

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
Hivi pale G7 ni Tabata au malamba wakuu.

Nilipotea njia pale asee vijana wanatafuta hela Kwa shida alafu zinaenda kuisha kizembe.

Nimeagiza Redbull wanauza elfu 6. Mana Sasa hivi sio mnywaji wa pombe nimetokea kuiogopa pombe Sana Kwa Sasa.

Nauliza Tu Ile G7 ipo Tabata au Malamba?
 
Huko kumeshaanza kuwa kwa kishua
 
Aliyekuambia hizo hela zinaisha nani? Usiwaze ya watu mkuu...
 
Hapo G7 ni Kifuru Boss patamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…