Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Ni weekend tulivu ya last week nilikuwa napiga moja moto na moja baridi pembeni kulikuwa na bulaza mtanashati na mrembo pembeni yake.
Simu yake ikaita akawa kapokea ili amdhihirishie mrembo wake kuwa ni yeye wa pekee akaweka LOUD speaker coz aliyempigia ni mdada, then wakati maongezi yanaendelea akawa anasema "NIPO NA DEMU WANGU TUNAMALIZIA WEEKEND"!!!
Kilichotokea mimi sikutaka kuwa shahidi coz yule mrembo alimuwakia jamaa yake na kuzuka balaa.
Wadada wa JF ungekuwa wewe unge react vipi??!!!