Nauliza tu......Ingekuwa wewe Ungereact vipii??!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Ni weekend tulivu ya last week nilikuwa napiga moja moto na moja baridi pembeni kulikuwa na bulaza mtanashati na mrembo pembeni yake.

Simu yake ikaita akawa kapokea ili amdhihirishie mrembo wake kuwa ni yeye wa pekee akaweka LOUD speaker coz aliyempigia ni mdada, then wakati maongezi yanaendelea akawa anasema "NIPO NA DEMU WANGU TUNAMALIZIA WEEKEND"!!!

Kilichotokea mimi sikutaka kuwa shahidi coz yule mrembo alimuwakia jamaa yake na kuzuka balaa.

Wadada wa JF ungekuwa wewe unge react vipi??!!!
 
amekosea kusema demu wangu. wengi huwa hawapendi kuitwa hivyo.
 
Hiyo red ningekunyonya macho kabisa khhaa Demu wapi LD, Susy nk kuna Demu huku jamani
 
Hii hadithi haijaisha!?...au ndo blue monday!
 
Malizia hadithi basi, kwa tukio hilo Kuweka loud speaker ni ushamba
 
haa!!hamna rangi ungeacha kuona..demu yako nani...lugha zako hukohuko kijiweni eboo
 
kamusi ya kiswahili kwanza inasema demu ni pira la kusambazia mafuta!!

hata ingekuwa mimi nisingefurahi!!! na ndio ingekuwa mwisho wangu na yy!!
 
Ha ha haaa!!!! Umenichekesha sana SUSY hapo kwenye RED!!!!

kamusi ya kiswahili kwanza inasema demu ni pira la kusambazia mafuta!!

hata ingekuwa mimi nisingefurahi!!! na ndio ingekuwa mwisho wangu na yy!!
 
Hiyo red ningekunyonya macho kabisa khhaa Demu wapi LD, Susy nk kuna Demu huku jamani

Ningemmwagia Mountain juu ya usoni, halafu naondoka hakia nani.
Yani hilo jina jamani, Dah, hivi natakiwa niwe je ili uniite Demu,
Natamani tu, kujua nitajiepusha kwa gharama yoyote ile, Khaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
kamusi ya kiswahili kwanza inasema demu ni pira la kusambazia mafuta!!

hata ingekuwa mimi nisingefurahi!!! na ndio ingekuwa mwisho wangu na yy!!

Duh!!!!!
Suzy, kwa hiyo hao mademu huwa wanatumika kusambaza mafuta kwa hao jamaa.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha !!!!!!!!!!!!
NImecheka badala ya kununa.
 
kamusi ya kiswahili kwanza inasema demu ni pira la kusambazia mafuta!!

hata ingekuwa mimi nisingefurahi!!! na ndio ingekuwa mwisho wangu na yy!!

Susy huo mkono hauchoki, au ndio mambo ya firework.hahahahaha kurudi kwenye mada huyo mkaka ni ushamba tu unamsumbua loud speaker ya nini wakati hujiamini? weka loud ongea ya maana
 
wtf! huyo demu ana shida zake mwenyewe! ale kona kwani kitumbua anacho yeye tu?
 
Jamani mimi labda nina mawashawasha machoni,nimesoma mada na kuirudia mara mbili,kweli kabisa sioni tatizo,tatizo ni nini hasa?Susy , LD hebu nifafanulieni kinagaubaga.Natanguliza shukrani.
 
"Its better 2 be with no one than 2 be with the wrong one!"
Engineer Smasher!!
 
mimi ukiniita demu nakupa kibuti ndani ya sekunde,hilo halina heshima jamani linatudhalilisha sana i real hate that word from ma heart
 
mimi ukiniita demu nakupa kibuti ndani ya sekunde,hilo halina heshima jamani linatudhalilisha sana i real hate that word from ma heart

Umenigusa kwa roho silipendi hilo jina mimi
 
Hahahaha wadogo zangu wadada mmetoka povu ndio shida ya kua na uhusiano na masharobaro hiyo
 
mhh! demu???? k'ha huyo atakuwa bado maziwa yanamnuka mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…