Nauliza tu.........Is it Possible??


.......Duh nyie watu msinifanye nikaandaa utaratibu wa kuanzisha Hansadiz humu jamvini......inakuwaje watu mnajua makitu namna hii??
Babu Kaizer aksante sana ila hapo kwenye hisia za muda na sehemu umeniongezea knowledge katika maisha yangu. Nilikuwa nareflect ile thread ya LD ya yule mbaba alokuwa na nyumba ndogo ambayo ilimsaidia sana kimaendeleo ......sasa kama hawa walikaa muda mrefu if we assume walikuwa na true love?
 
Nadhani ni very possible kutegemeana na background ya mahusiano yaliyowapelekea kuwa kny marriage au pia huko nje unaweza kupata kile ulichokuwa unakimiss!!

GOD FORBID:hand:


Aksante WL. So its true it is possible.
 

Babu aksante sana kwa busara zako. Hasa hiyo ya adui au rafiki wa kudumu. We learn a lot here.
 

Duh BAbu.............HESHIMA Mbele so nyumba ndogo are there to stay......hiyo ya wife material mie ningependa sana kupata ufafamuzi kwenu kina kaka when you say wife materia ndo anakuwaje??
 
Naomba mungu aniepushie balaa hili. Kujibu hoja ni ndio inawezekana kama hamkupendana na partner wako kiukweli.

Dinna kweli MUNGU aepushe mbali
.............. hiyo kutopendana kiukweli kweli ni tatizo. I know a guy ambaye alimwoa galfriend wake kwa kujilazimisha kisa aliamua kuwa muwazi baada ya kuona they are so much incompatible alimwambia ukweli they should stop the relationship Binti akanywa dawa ajiue then vikao vikaomba amuoe tu. Sasa masikini mkaka kila kukisha mawazo yako kwa the dreamy woman.........anakuwa wa kwanza kumsms good morning asubuhi kila iitwayo leo na goodnite and sweet dreams kila siku..... Ni mwaka wa 8 sasa tangu 2004!!!
 
Duh BAbu.............HESHIMA Mbele so nyumba ndogo are there to stay......hiyo ya wife material mie ningependa sana kupata ufafamuzi kwenu kina kaka when you say wife materia ndo anakuwaje??

Hahaha...jamaa yangu alikuwa anampenda sana demu wake enzi tunasoma....Alimpenda sana. Mpaka jamaa walipomwambia: hivi siku ukaja kuwa na wadhifa flani, huyo utakuwa radhi kwenda naye kwenye hafla ukamtambulisha kwa wenye hadhi wenzio? Jamaa akampiga chini akaoa mchuchu mwingine.....Haikupita miaka jamaa akaendelea kuibanjua amri ya sita na ampendaye..

Anyway, mi nadhani WIFE MATERIAL ni mwonekano wa ki-nje zaidi....figure, tabia, sauti, sura, haiba nk nk nk.....wakati TRUE LOVE haliangalii hiyo! Ndio unaposhangaa jamaa kaoa....changudoa, malaya, mwizi, chakubimbi, chongo anaona kengeza nk nk nk
 

Dear maty si kweli kabisa mapenzi yana formula = 1 + 1 = 1 ......kuwa mnakuwa kitu kimoja ingawa mwala sahani mbili tofauti.
 


Hahahaaaaaaaaaaaa lol nicheke tu mie leo mwe!
 
Dear maty si kweli kabisa mapenzi yana formula = 1 + 1 = 1 ......kuwa mnakuwa kitu kimoja ingawa mwala sahani mbili tofauti.

umenichekesha eti ingawa twala sahani mbili tofauti lol.
 

Mwanajamiione it is very clear kwamba HAIWEZEKANI kwa sababu mazingira ya nyumba ndogo siku zote sio ideal in real life situation! Ikumbukwe kwamba ktk issue za nyumba ndogo ni kwamba the two wanajaribu kufit it ktk hiyo relationship kwa madhumuni tofauti. kwa mfano for some reason mwanaume/mwanamke anaweza kuwa ameboreka na ndoa yake anapojipatia nyumba nyumba ndogo mara nyingi uweka wazi masaibu yake. Hapo ndio ndio nyumba ndogo wanapo outsmart wenye ndoa zao. Just find out for yourself utagundua kuwa swala la COMMUNICATION kwa nyumba ndogo ni kubwa sana kuliko kwa wana ndoa, kutokana na hilo ni rahisi sana kwa either side kujua broadly aishije na mwenzi.
 


So mpaka hapa hakuna wife material wala nini ni feki----- wife material nilitegemea ingekuwa kinyume..wife material unaangalia tabia nzuri, heshima na upendo ambao hutoka sana sana kwa wale ambao hawana mvuto kiviiiile mara nyingi (Wengi wa machepele huwa wana mivuto bwana).
 
Mjukuu,

Inawezekana kutokana na mahusiano yenu hapo nyuma yalikuwaje na kama mmoja aliingia kwenye ndoa huku bado akimpenda mwenzake basi kile ambacho atakuwa ana ki-miss kwenye ndoa ambacho alikuwa anapata zamani kwa huyo mwingine kabla hajaoa basi ni dhahiri kwamba warudi kwenye mahusiano motomoto tu.
 

Amen.............ninakubaliana na wewe.
 
Mo-TOWN inawezekana because i have seen it happening may be unasema haiwezekani kwasababu haujaona kitu kama hicho kikitokea but for me i have seen it happening
 
Kyabushaija ................okay NDOA ni matokeo ya mazingira.............I hope si zote.

Hiyo ya tatu Kyabu nina amini kabisa kwa trend hii tulionayo...tutafika huko tu one day
 

Ok na hayo yote tuyaweke kwenye wife material, mjukuu mtiifu nambie, True love ni Tabia njema? heshima? Upendo? Unaweza ukawa navyo vyote hivyo na watu wakakumega wakasepa...bila kukupenda kiukweli LOLZ

Na Mvuto wa hao machepele nao ni TRUE LOVE? Si ndio wife material nazungumzia hapo? Kwamba mi nataka nioe kifaa kikali kama mjukuu mtiifu...si ana mvuto? Ili nikipita nacho mitaani kina Bigirita wanitambue.....waseme pale babu kaoa bana! Kumbe LOL! Au umesahau ulinambia Bibi ni mzuri? Kwa hiyo unajuaje kama nilimwoa kwa sababu ya uzuri huo (hapa naita WIFE MATERIAL) au nilimpenda kiukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…