Nauliza tu.........Is it Possible??

<br />
<br />
Mkuu sina cha kuongeza zaidi ya kwamba, nyumba ndogo nyingi sio wife material lol.
 
Okay kaka....huu ni mtizamo tofauti wanajamvi and ninakubali sababu alizozitoa. So Mo-Town kwa kifupi wasema kama mbaba/mama hajiexplain kwa nyumba ndogo maswaibu ayapatayo ndoani ni abadani kupata true love. Sijui mwasemaje
 
Mwanajamiione,

Longtime baby!

Yeah,kuna uwezekano kabisa kupata mapenzi ya kweli nyumba ndogo hasa pale ambapo unakuta mtu kawa na extra-marital affair kwa sababu ya kutopata mapenzi ya kutosha.I dont condonne such a disgracefully option,lakini kuna uwezekano kabisa wa watu hao wawili kupendana na kuanza kujilaumu kwa nini hawakujuana mapema.Mimi huwa napinga sana solution ya aina hii kama hupati mapenzi ya kutosha coz niko against na all forms of cheating.

Pia,kama nyumba ndogo wakikutana kama mmoja ni au wote ni players....womaniser nk hapo hakutakuwa na strong Bond
 
Inawezekana kabisa mwana.
Mi naona kwasababu kwa nyumba ndogo huwa mnaachiana nafasi kiasi kwamba kila mtu anammiss mwenzie.
Huku kuonana onana nafikiri ndio maana wanachokana.
Hebu wanandoa muwe mnapeana likizo.
 

Aksante Ben duh was about to ask your whereabouts

Hapo kwenye red: Oh was about to ask to be your nyumba ndogo Ben...........poor me.
 
Aksante Ben duh was about to ask your whereabouts

Hapo kwenye red: Oh was about to ask to be your nyumba ndogo Ben...........poor me.


Ohh,Usijali the door is open ....basi nakana maandishi yangu hapo juu,i was about to Edit them.
 
MJ1,


Sina hakika bado unatafuta jibu lipi.

Labda nikueleze kuwa ndoa ni kitu cha kipuuzi sana. Yaani huwezi kuelezea ikaeleweka vizuri na kwa aina ile ile kwa kila mtu. Hebu basi tumwache kila mtu aiongelee ndoa kwa jinsi anavyoijua (kwa wale tunaoishi Segerea/Ukonga) au kuitamani (wale ambao wamejaza ma-dreams vichwani).

Laiti ndoa ingewezekana kubadilishwa badilishwa kama magurudumu ya magari basi tungeweza kuielewa vizuri. Kwa jinsi mambo yalivyo sasa ni kizungumkuti tu....!!


Ngoja nimuwahi Bibi asinipige kibuti,....Tutaonana March bandugu bapendwa!!

Babu DC
 
Mhh, Kyabushaija hizo 100%, 100% 100% ???
 

Watu wa namna hiyo wataendelea kuona nyumba ndogo ni true love KAMA TU nyumba ndogo iendelee kubaki nyumba ndogo, akigeuzwa mke amekwishaaa! Coz baada ya muda fulan nae ataonekana ha-match na mwanaume, na mwanaume atatafuta anaza infii
 
TRUE LOVE ipo kwenye maandishi....
 

...Inawezekana sana tu. Kwa maisha ya kisasa, Siamini kwamba wote wanaooana ni 100% compartible. Wengi huingia kwenye ndoa kwa sababu zilizo nje ya mapenzi wakitegemea wakishaoana watapendana 'kiukweli', matokeo yake wake kwa waume wanaishia kutafuta relief 'nyumba ndogo.'
 
Watu wa namna hiyo wataendelea kuona nyumba ndogo ni true love KAMA TU nyumba ndogo iendelee kubaki nyumba ndogo, akigeuzwa mke amekwishaaa! Coz baada ya muda fulan nae ataonekana ha-match na mwanaume, na mwanaume atatafuta anaza infii

Hili nalo neno kwa kweli
 

Rafiki hilo la wife material ni kweli kabisa. nakumbuka kuna siku niliwahi kumtokea kaka mmoja kumgombeza amwache rafiki yangu maana kwa kweli alikuwa anamtesa sana. wakati huo walikuwa hawajaoana, lakini jamaa alikuwa na wasichana wengi sana, na kwa wazi kabisa. siku nikamwambia achana na huyu rafiki yangu maana hu-deserve kuwa naye. akanijibu straight kwamba hatamwacha, na huyo ndo amepanga kuwa mkewe sababu anafaa kuwa mke wake, na si msichana mwingine yeyote. Ni kweli wakaoana, lakini yule kaka bado ana wadada kibao huko nje, balaa tupu!
 

ha ha ha, you guys are hillarious. Ben vipi bana, simamia kauli yako bana, LOL!
Yataka moyo!
 

babu hapo kwenye red sijui nilie au nicheke.............. kumbe ni swala la muda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…