Wandugu Subhai? takwenya? tukulu kabisa? (salamu jamani)
Nimejaribu kureflect mitazamo mbalimbali humu jamvini kuhusu nyumba ndogos nikajikuta najiuliza mawaswali yaso na majibu. Ninaomba msaada wenu
Inawezekana haijakutokea wewe but umeshaiona kwa mtu wako wa karibu au jirani yako....
1. Is it possible to find a true love in nyumba ndogo? (Compatible partner acc to Teamo's definition of true marriages). Kwa maana ya kwamba mtu kapata nyumba ndogo halafu wakajikuta they are so compatible kiasi cha kuhisi kuwa they were meant for eachother just that hawakubahatika kuonana/kutana mapemda kabla ya kujicommit kwingine ambako wanahisi wamekosea/force??
Hapa tunajua kuwa ni dhambi kuwa na mahusiano nje ya ndoa yako..........but tuongee reality hapa kuwa ni kweli zipo despite mafundisho hayo.
ni hilo tu................
hii mada nzito kwangu :decision::decision:
Hebu fafanua MR.....ni nzito kivipi!?
ha ha ha, you guys are hillarious. Ben vipi bana, simamia kauli yako bana, LOL!
Yataka moyo!
MJ1 hilo linawezekana kabisa ndiyo maana huwa tunasikia Mr A kamuacha mkewe kenda kumuoa Miss/Mrs B au Mrs A kamkimbia mumewe na kuolewa na Mr B na hili limeshatokea mara nyingi tu katika nchi mbali mbali duniani. Mfano ni yule Brad Pit aliyemuacha mkewe (Jennifer Aniston) kwa nyumba ndogo yake (Angelina Jolie) na kumuoa na sasa hivi wanaishi raha mustarehe.
Spanish Guitar - Toni Braxton | Music Video | VEVO
Ha ha haaaa, some rules or principles can be bent for a while,if what urun for is worthier than upholding the principles
Mkuu Mbu,kwa mtoto kama Mwanajamiione....kanuni zako inabidi uzi-edit,lol
Now On a serious Note:
My advice to all the ladies and men in the chase phase of a relationship is enjoy it, as reality beckons.
For all the ladies in the post-chase phase, you have to add value to your man's life if you want him to value you (and this goes for men too). Just ask yourself what it is that you are bringing into the relationship, beyond pretty face and sex…what else are you good for? This is what counts! Such things as sound and unselfish advice that would benefit him and his future, financial planning advice, care, do you make him feel big or small?
If you do this, he would always want to be around you…and even if his attention strays, I assure you he would be back!
Mh BAK.........Brad Pitt is a master piece to me. Thanx
Dhu kwa kweli sasa ninaamini alichokisema Talcott Parsons kuhusu nyumba ndogos and prostitutes when explaining Functional theory.......they are part of the society and are healthy for the maintanance of societal order and survival.
babu hapo kwenye red sijui nilie au nicheke.............. kumbe ni swala la muda!
Mh BAK.........Brad Pitt is a master piece to me. Thanx
Dhu kwa kweli sasa ninaamini alichokisema Talcott Parsons kuhusu nyumba ndogos and prostitutes when explaining Functional theory.......they are part of the society and are healthy for the maintanance of societal order and survival.
Despite mafundisho naamini hii itakuwa official statement kwamba nyumba ndogos are there to stay,unless Iam reading the wrong signs.
Umekubali na ku-reconcile kichwani ingawa ni nguma na wakati mwingine chungu?
Bila wao hakuna sisi na bila sisi hakuna wao! Tunahitajiana na ni sehemu ya ecosystem ya malavi davi!
Babu DC
........Mimi huwa sibishani na nature..............nakiri kuwa its there to stay BUT you guyz huuwa mnajisahau sana......badala ya kuzitumia nyumba ndogo kama njia ya kumkumbusha wife/husband kuwa amejisahau...nyie mnawekeza kabisa kama Ally Adawi na mitambo ya Do Once
Watu wa namna hiyo wataendelea kuona nyumba ndogo ni true love KAMA TU nyumba ndogo iendelee kubaki nyumba ndogo, akigeuzwa mke amekwishaaa! Coz baada ya muda fulan nae ataonekana ha-match na mwanaume, na mwanaume atatafuta anaza infii
Hahah hahah BAK wewe nitumie inbox kama ya siku ile lol :lalala::A S-heart-2:
........Mimi huwa sibishani na nature..............nakiri kuwa its there to stay BUT you guyz huuwa mnajisahau sana......badala ya kuzitumia nyumba ndogo kama njia ya kumkumbusha wife/husband kuwa amejisahau...nyie mnawekeza kabisa kama Ally Adawi na mitambo ya Do Once