Nauliza tu jamani!!

Nauliza tu jamani!!

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??

Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???
 
Do i smell something here!!!

wewe ulikuwa hutwangi cm wala kutuma emails? yeye ndo alikuwa anatuma tuuuuuuu!!! sasa ni zamu yako

Babe come this way!~
 
Will be right back with full packaging,
Go to Bigirita's way....
 
Inategemea kama amekukuta mtamu ataendelea tu kukuita majina yote mazuri, ukiona yale yote mazuri hakufanyii wala hakuiti majina mazuri we jua huna tene utamu na kashapata pengine kahamishia malov lov
 
Do i smell something here!!!

wewe ulikuwa hutwangi cm wala kutuma emails? yeye ndo alikuwa anatuma tuuuuuuu!!! sasa ni zamu yako

Babe come this way!~

Mimi nilikuwa napiga sana lakini yeye kapunguza asilimia 90 yaani akipiga ujue anakuuliza swali au ana shida fulani vinginevyo siku inaisha hata simu hakuna
 
Uki anda perform lazima ukatiwe mawasiliano
Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??

Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???
 
hehehehehe!

I AM JUST PASSING HERE!

GO TO BIGIRITA'S WAY
 
mimi nilikuwa napiga sana lakini yeye kapunguza asilimia 90 yaani akipiga ujue anakuuliza swali au ana shida fulani vinginevyo siku inaisha hata simu hakuna

ongeza ufundi mama atahama kijumla ikibidi umpe vitu hadimu la sivyo humwoni tena licha ya cm, msg, emails
 
Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??

Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???

Kama mmesha DO THE NEEDFUL simu na email za kila saa za nini tena?
 
labda ujampa raha ukimpa raha utasikia majina matamu always outing kibao zawadi kibao
 
vidume ''WAKISHALOWEKA'' ndo wamemaliza kazi hao.......

labda ukutane na LOVER_BOY fulani hivi ambaye anazipenda hizo kitu.....!ukikutana na vijana ''fulani'' hivi wao ni SINGLE USE
 
Tatizo la baadhi ya mademu ukimshirisha kwenye single moja, yeye anataka mtoe ALBUM pamoja!
 
labda ujampa raha ukimpa raha utasikia majina matamu always outing kibao zawadi kibao

Yaani zawadi kwa sana tu hata ambazo nilikuwa sijawahi kupata ila shida yangu ni communication tu kila kitu kiko sawa
 
Umenikumbusha haya mazungumzo;

WIFE: I wish I was a newspaper, so I'd be in your hands all day.
HUSBAND: I wish too that you were a newspaper that I could have a new one everyday!
 
vidume ''WAKISHALOWEKA'' ndo wamemaliza kazi hao.......

labda ukutane na LOVER_BOY fulani hivi ambaye anazipenda hizo kitu.....!ukikutana na vijana ''fulani'' hivi wao ni SINGLE USE

Mhhh hii tena mpya single use??? Mbona bado anause kwa sana tu?? communication ndo issue
 
Yaani zawadi kwa sana tu hata ambazo nilikuwa sijawahi kupata ila shida yangu ni communication tu kila kitu kiko sawa

Sasa unataka nini zaidi ya hapo? Angalia usije kumkera akakukimbia. Vile vimeseji vya kitoto toto visivyokuwa na kichwa wala miguu navyo vinaboa sana!
 
Back
Top Bottom