Tena kwanteee ya kwenye chungu aakkkhhh poa ile mbaya uwiiiiiiiiiiii pole wewe uko Dar nini kwanteee uitoe wapi??? Yaani huku ni raha atupu kwasasa niko Haidomu ha ha ha unakujua huku??? Wewe???
Ati nini niambie unanitania dear lol mmmmhhhhhh
ati nini niambie unanitania dear lol mmmmhhhhhh
We acha utani haidom uko kwa nani. ..???mimi nimezaliwa haidom
:eyeroll1:The Newz is that.
ndo hivyo tena mpenzi sina jipya.... But its gona okay... We ngoja nikwambie kitu ucje kumsikiliza huyu desidii sana sana atakugombanisha tuu atamkii... Be carefully ok???
MMMMMMMHHHH NA WEWE HEEE???!!!!!!! HAYA NINI TENA MMHHH?? MMH...
:eyeroll1:
ngoja niandike kiswahili basi "habari ndo hiyoooooooooooooooooooooooooo" umeelewa sasa???
nilham n kusheshimu sana tafafdhali sana usiniharibie!!!!!
we hutaki maendeleo hata huoni ni 2011 mwenzangu... Na umefurh mpaka rohoni ulivyoskia habar za hashc.... Ukaona ata nachelewa kujibu ukanijibia wewe lol...
haaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nimechhoka kwa hili mmmhhhh???
pole
nahisi jua limezama mwenzangu yaani ni tabu tupu atafuta watoto wapya sasa HIVI... THEN KILA SIKU NAMKUTA AMKUZIA PRETA KIDUME KILE MMH...
mmmhhhhhhh