M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,585 Reaction score 7,766 Feb 28, 2011 #21 ngumu kumeza.Ndio maana kuna sredi iliwekwa hapa ya KWA NINI GEST NA SIO HOME? Unatokaje hapo sielewi kabisaaaaaaaaaaaaaa.
ngumu kumeza.Ndio maana kuna sredi iliwekwa hapa ya KWA NINI GEST NA SIO HOME? Unatokaje hapo sielewi kabisaaaaaaaaaaaaaa.
Desidii JF-Expert Member Joined Oct 2, 2007 Posts 1,201 Reaction score 86 Feb 28, 2011 #22 Na wewe mkaka unajisikiaje kuwasindikiza hao unaoita mademu zako?? Huoni aibu weye mbele ya wakubwa zako waleta mambo ka haya??? Me don't like this thread.
Na wewe mkaka unajisikiaje kuwasindikiza hao unaoita mademu zako?? Huoni aibu weye mbele ya wakubwa zako waleta mambo ka haya??? Me don't like this thread.