Nauliza tu!

s.fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2009
Posts
663
Reaction score
117
Hivi jamani hili joto la kipindi hiki mnakabiliana nalo vipi kitandani? ratiba za mechi zinapungua ama kuna positions maalum zinatumika?
Nauliza tu..
 
mmhh tunahamia bafuni...
au kwenye lile beseni kubwa wataalum wanaita jakuzi ....
 
hahah mwenzetu unayezungumzia joto uko nchi gani? unajua wengine huku toke kwenye winter season, yaani snow kimo
cha mtoto. Baridi hadi abdla analalama! Ila Dar kwa kweli jote lake December sio la kawaida, nawaonea huruwa wakina mama
wenye ujauzito miezi hiyo, lazima kunakuwa na shughuli ya aina yake. Ukiongeza na hizo foleni za magari basi tena.
 
Joto la Dar mkuu..
 
mmhh tunahamia bafuni...
au kwenye lile beseni kubwa wataalum wanaita jakuzi ....

Huyu vipi mechi tena kwenye joto ndo usiombe, inanoga kama nini, mnaingia kwenye friji tu mambo kama kawa au vipi mama?
 
Huyu vipi mechi tena kwenye joto ndo usiombe, inanoga kama nini, mnaingia kwenye friji tu mambo kama kawa au vipi mama?

hahahahah lol
mapenzi ya KICHINA hahahaha lol
mnaanzia jikoni, mnaenda juu ya washing machine , mkitoka hapa ni kwenye garden halafu mnamalizia bafuni..
mahali popote kwenye maji au kivuli hahaha lol
KICHINA CHINA hahahah lol
 
naona majigamboo/mafagiooooooooo kwa mbaaaaaaaaaaali..
hongera bwana kwa kuwa majuuu..unakula rrrrrrrrrrrraha siyo?...dahh aya bwana
bak 2topic;
mnavumulia tu mna do then mnaenda kuoga+fen/ac kubwa bas siku znaendlea...
 
Am pregnant kwa kweli hata hilo tendo la ndoa baba hapati yaani kila kitu ni karaha hata kula am sweating 24/7 usiku ndio balaa you sleep naked na bado kitanda kinalowa ni maajabu and I live in Arusha.
 
Kwani joto na tendo la ndoa vinahusiana nini? we endelea tu dawa ya moto ni moto
 
hahahahah lol
mapenzi ya KICHINA hahahaha lol
mnaanzia jikoni, mnaenda juu ya washing machine , mkitoka hapa ni kwenye garden halafu mnamalizia bafuni..
mahali popote kwenye maji au kivuli hahaha lol
KICHINA CHINA hahahah lol

Nimekusoma hasa hiyo ya mwisho ni muhimu kuzingatia, kunyeni kinywaji bariiiidi kiasi au save with ice hahaha.. utaenjoy lijoto.
 
a.c za mkopo ziko kibao kaka jikongoje uondokane na zahma hili la joto
ila kwa sasa na huu mgao usioeleweka!
mulemule tu ila mchezo lazima mzee:director:
 
Nimekusoma hasa hiyo ya mwisho ni muhimu kuzingatia, kunyeni kinywaji bariiiidi kiasi au save with ice hahaha.. utaenjoy lijoto.
hahahahahha lol
ice sounds perfect lol..
kama una ice hiyo ni next level ya kuondoa joto..
ngoja nisiingie huko hahah lol
 
sio iishu.....ni kuvumilia tu kani kwnye joto husikii unono,uuuuuuuuuuuuuuuuu datz thing could b done every where.
 
mmhh tunahamia bafuni...
au kwenye lile beseni kubwa wataalum wanaita jakuzi ....

Mhhhhhh! we mkali hutaki kuikosa nonino yako hata kidogo!!! he he he

Mhhhhhh! we mkali hutaki kuikosa nonino yako hata kidogo!!! he he he

mmmhhhh BAK nikikosa ntalalaje...
nimekuwa mama haniimbii tena twinkle twinkle little star..
inabidi nitafuatute njia nyingine ya kujibembeleza..
kwa hiyo iwe joto, baridi hata au mvua ya chura
lazima tupate namna ya kutimiza wajibu tu..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…