Nauliza TU.

Dalali wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
326
Reaction score
464
Habari matajiri.

Nauliza kwanini Wafanyakazi wanakuwa waaminifu Sana Kwa maboss lakini maboss hawawi waaminifu kwetu Sisi wafanyakazi?

Kweli mtu unakuwa Na shida unamuelezea boss lakini boss anaona unamdanganya daah.

Maboss zetu tunawakubali sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…