NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 233
naomba mwenye taarifa aziweke hapa jamvin kwa faida ya wote sio aku PM,ni weng tunahitaj kujuaWakuu wana JF,Kama mtakumbuka UDOM walitangaza nafasi za kazi za u-lecturer zaidi ya 100 mwishoni mwa mwezi may, 2011. Je kuna mtu yeyote ambaye aliomba hizo kazi na amepata feedback i.e kuitwa kwenye usaili n.k? au kama kuna mtu mwenye A B C yeyote ile kwa kile kinachoendelea naomba anifahamishe wakuu. Unaweza hata ukani-PM kama hutojali.I am so curious to know what is going on!Natanguliza shukrani wakuu!!
lulungen,asante sana kwa taarifa zenye kutupa moyo,endelea kutu update na hzo information,jf iko juuKwa wale wote waliaomba nafasi za kazi udom kama ngozwe na wengine naomba muendelee kuvuta subira kwani kilicho kwamisha kutowa shortlist ni mgomo wa wanafunzi uliyotokeya hivyo wakaamuwa kustopisha kwa muda mpaka mwezi wa nane pamoja na kuwa nafasi zilikuwa mia lakini waliomba wanazidi 300 ila msife moyo kwa wale wote mnaosubiri kwani mnaweza kuwepo kwenye shortlist pamoja na kuwa wanaregard vitu vingi lakini mungu yupo hivyo kama watafuata criteria zinazotakiwa na kuacha undugu pamoja na kuwa hilo jambo kwa sasa kuacha ni ngumu ila mnaweza mkapata kwani kama ni kuja kuanza kazi yenyewe ni mwezi wa kumi mnatanguliya kidogo kabla ya first kuwazili hivyo bado kuna muda
Kwa wale wote waliaomba nafasi za kazi udom kama ngozwe na wengine naomba muendelee kuvuta subira kwani kilicho kwamisha kutowa shortlist ni mgomo wa wanafunzi uliyotokeya hivyo wakaamuwa kustopisha kwa muda mpaka mwezi wa nane pamoja na kuwa nafasi zilikuwa mia lakini waliomba wanazidi 300 ila msife moyo kwa wale wote mnaosubiri kwani mnaweza kuwepo kwenye shortlist pamoja na kuwa wanaregard vitu vingi lakini mungu yupo hivyo kama watafuata criteria zinazotakiwa na kuacha undugu pamoja na kuwa hilo jambo kwa sasa kuacha ni ngumu ila mnaweza mkapata kwani kama ni kuja kuanza kazi yenyewe ni mwezi wa kumi mnatanguliya kidogo kabla ya first kuwazili hivyo bado kuna muda
mmmh! Nidadavulie tofaut kat ya digrii ya NACTE NA TCUKuhusu Mzumbe interview tayali..walishaitwa!kaflash kako pemben unamwaga material kwa Powerpoint vs Projector...!it was fantastic!kwa Udom kama wewe n NTA level8 yaan digrii yko inatambuliwa na NACTE hawaitambui,wao wanataka Digrii inayotambuliwa na TCU basi...kwa wale walio chn ya NACTE consder U "disqualified"
mi sipo huko,kumbe bado naqualify bwana! LolNdugu zanguni naomba niwaelezee kuhusu NTA Levels na NACTE. NTA ni kifupi cha neno National Technical Awards Kiswahili chake ni Tuzo za Elimu ya Ufundi, hizi ni tuzo za elimu ya ufundi nchini na NACTE ni kifupi cha neno The National Council for Technical Education kiswahili chake ni Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi lililoanzishwa kwa sheria ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Na. 9 ya Mwaka 1997 kwa lengo la kusimamia na kuratibu elimu na mafunzo ya ufundi nchini.NTA zipo kuanzia ngazi ya 4 -10 ambazo hujulikana kama NTA Levels km ifuatavyo: Basic Technician Certificate (NTA Level 4); Technician Certificate (NTA Level 5); Ordinary Diploma (NTA Level 6); Higher Diploma (NTA Level 7); Bachelors Degree (NTA Level 8); Masters Degree (NTA Level 9); and Doctorate Degree (PhD) (NTA Level 10). unaweza kutembelea www.nacte.go.tz kwa maelezo zaidi.
Kaka mpaka sasa baadhi ya schools walishaita watu bado chache sana
Kwa kifupi Degree NTA Level 8 na zinazotambuliwa na NACTE na si TCU ni kutoka Tertiary Colleges e.g Ustaw wa Jamii Kijtnyama,IFM,CBE,Mipango Dodoma,NIT,TIA,AIA et alNdugu zanguni naomba niwaelezee kuhusu NTA Levels na NACTE. NTA ni kifupi cha neno National Technical Awards Kiswahili chake ni Tuzo za Elimu ya Ufundi, hizi ni tuzo za elimu ya ufundi nchini na NACTE ni kifupi cha neno The National Council for Technical Education kiswahili chake ni Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi lililoanzishwa kwa sheria ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Na. 9 ya Mwaka 1997 kwa lengo la kusimamia na kuratibu elimu na mafunzo ya ufundi nchini.NTA zipo kuanzia ngazi ya 4 -10 ambazo hujulikana kama NTA Levels km ifuatavyo: Basic Technician Certificate (NTA Level 4); Technician Certificate (NTA Level 5); Ordinary Diploma (NTA Level 6); Higher Diploma (NTA Level 7); Bachelors Degree (NTA Level 8); Masters Degree (NTA Level 9); and Doctorate Degree (PhD) (NTA Level 10). unaweza kutembelea www.nacte.go.tz kwa maelezo zaidi.
hizo kazi za udom zina memo hadi zilizosainiwa na wafu! sijawahi ona memo nyingi in my life kuzidi hili,lol!