Naulizia affordable honeymoon options zilizoko karibu na dar.

thanks man, nimeicheki hiyo kwa we imekaa njema. i pray that kesho ukumbuke kuja na kadi ili niweze kuselect vizuri maana for sure 80,000 ni high.
thanks mkuu.
 
kweli umepinda wewe.

Msanii, acha usanii. Shida iko wapi, hapafai au? Naamini nimetoa taarifa ya kumsaidia jamaa yetu, uamuzi utabaki kuwa wake, ataamua kama panafaa au hapafai, au una Hoteli yako na unaona riziki inapaa?
 
Mkuu nenda KIBADAMO HOTEL Ubungo. Buku 20.000 na ni self contained na inclusive ya breakfast.
 
huu ufujaji wa pesa.......kwanini usikae nyumbani kwako ukatulia na mkeo....
 
Opposite na Kibadamu Ubungo kuna Sharon..ni mpya na kali sana ndani..ni 20-25 ni pazuri sana..vyumba vikubwa, maji ya moto, BF na real clean!

Kama Sharon..basi fanya booking mapema..hujaa haraka sana! karibu sana na NBC Ubungo na Hosteli za Masters UDSM!
 

...mkubwa, wapi itapokuwa usiku wa fungate ni siri ya bwana harusi, bi hatusi mtarajiwa hatakiwi kujua hiyo 'surprise!'... Kama ilivyo siri kumuona mkeo mtarajiwa na gauni la harusi kabla ya shughuli, ndio hivyo hivyo ilivyo siri Mke kutokuhusishwa fungate iwe wapi!
 

...nasisitiza tena, honeymoon ni chaguo la mume mtarajiwa pekee. Usimhusishe bi harusi mtarajiwa. Kwani huna madada au marafiki wa kike wewe wakusaidie uchaguzi?

Hizo sehemu mnazozitaja mara Mkuranga, mara Kongowe, ulinzi wake ukoje? msijemkamponza mwenzenu usiku wa mwanzo kumbe majambawazi huwa wanalia timing maeneo hayo!

Kumbuka, "hizo bei karibu na bure pia ghali!"
 
ni vizuri ukakaa chini ukaandika kwanza bajeti yako ya kiasi gani unataka kutumia.ukishaijua bajeti yako nivuri sana nyie wawili wenyewe mkawa creative zaidi na kuweza kuipanga bila gharama nyingi na ya kukumbukwa milele.
 
Hi members,

nategemea kufunga ndoa in two weeks time but pa kulilia fungate sijapata. nani anaweza kunisaidia mawazo ya mahali pazuri ambapo mtumishi wa serikali wa kati anaweza kuafford kama mimi?

Nenda FPCT CENTRE ipo kurasini gharama zao ni nzuri mazingira mazuri pia.
Mwenyewe utapakubali.
Wana rooms zenye kila kitu pamoja na houses ambazo zinakila kitu kwa gharama ndogo mno. Namba yao ni 0718681789
 
Honeymoon haifai kuwa kwenye guest.
FPCT ipo kurasini beach ina ulinzi wa hali ya juu parking na garden za kutosha website yao ni www.fpct.or.tz/centre haijakamilika bado ila ntaiweka online for 2 days ili upate japo picha kidogo maana walinipa kazi yakutengeneza website yao.
 
mkuu, is there anyway ukawa una contacts za hawa watu,au jinsi ya kufanya booking? najaribu kusearch kwa net but sioni website yao. please help or anyone outthere who can help.
thanks.

Cheki na Alfred Tiba
 
Mkuu nenda KIBADAMO HOTEL Ubungo. Buku 20.000 na ni self contained na inclusive ya breakfast.

Wakuu!!
Nafikiri katika kutoa ushauri kwa mtu kama huyu kuna mambo mengi sana ya kuzingatia maana Honey moon sio kama safari za kawaida eti umpe tu recommendation ya wapi atafikia!!

Kwa kumshauri huyu ndugu yetu mi ninahitaji ajaribu kufikiria na kujadiliana na mwenzi wake kuhusu:-
1. Ni kwa muda gani hiyo honeymoon yao wanataka iwe?
2. Je ni kitu gani watakuwa wanafanya au wangependa kufanya wakiwa honeymoon? (some people use honeymoon as rest & recreation time, some travel around, some might want to do the things they dont normally do on their limited time like swiming, fishing or even sunbathing along the beach etc)
3. Je ni mahali gani na mandhari ipi mngependa kuwa nayo? Not all Hotels even 5 stars can afford to give you exactly what you need for your occassion!
4. Ukishapata majibu ya hayo hapo then you look for the best affordable option for your lifestyle!!

Naombeni sana msimtajie tu huyu jamaa maeneo bila kujua the occassion!!! I hate to say this but a place like ubungo can not be considered as a honeymoon getway!!

Good luck!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…