believer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 639 Reaction score 216 Jun 24, 2013 #1 Habari zenu wa wadau,naulizia bei za incubators,na pia nataka kujua km naweza kutotolea mayai ya kienyeji,pls mwenye ufahamu juu ya ili afunguke,itasaidia sana.
Habari zenu wa wadau,naulizia bei za incubators,na pia nataka kujua km naweza kutotolea mayai ya kienyeji,pls mwenye ufahamu juu ya ili afunguke,itasaidia sana.
Expedito Mduda JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 542 Reaction score 264 Jun 24, 2013 #2 WASILIANA NA MTAALAMU KWENYE 0753903809 AU TEMBELEA EXPEDITO CASTORY MDUDA