Naulizia Driving School katika Mji wa Shinyanga

Naulizia Driving School katika Mji wa Shinyanga

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
Salaam kwenu nyote,
Kwa wenyeji wa Shinyanga Manispaa naulizia wapi kuna driving school makini, ukiachilia mbali VETA, nitashukuru nikipata na price husika tafadhali!
 
Kudrive nini mkuu magari,pikipiki au ungo hiyo ni shinyanga bwana mkubwa!
 
msimamishe mwenye gar hapo ulipo atakwambia kuliko kuangaika humu.Halaf unaakir nyingi sana
 
Back
Top Bottom