Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Oh! sorry kiongozi nilimaanisha vyombo vya moto, hususani gari na pikipiki!Kudrive nini mkuu magari,pikipiki au ungo hiyo ni shinyanga bwana mkubwa!
Nashukuru Mkuu, Hakuna pengine tofauti na hapo mkuu!?Nenda veta kizumbi..utapata hiyo kozi..
Ndio sehemu pekee nayoijua kwa shy..mana na muda sipo huko..so waweza ulizia wadau huko..Nashukuru Mkuu, Hakuna pengine tofauti na hapo mkuu!?
Nakushukuri mkuu Jiwe!Ndio sehemu pekee nayoijua kwa shy..mana na muda sipo huko..so waweza ulizia wadau huko..
Kuna nyingine maeneo ya ibinzamata karibu na stendi jina kidogo limenitoka nakamuda sijafika uko.Nashukuru Mkuu, Hakuna pengine tofauti na hapo mkuu!?