Zipo nyingi tu. Ni pm nikutumie.Jamani naulizia hii kitu kama inapatikana ,ili kueleweka kuna game nyingi(software) kwa mfano mzuri ni Chess, sasa napenda kuulizia kama drafti hili la kikwetu tulichezalo shule au kwenye vibaraza vya mitaani kama ipo software au game yake inayoweza kuchezwa kwenye PC kama ilivyo Chess ,ni hilo tu.
Jamani naulizia hii kitu kama inapatikana ,ili kueleweka kuna game nyingi(software) kwa mfano mzuri ni Chess, sasa napenda kuulizia kama drafti hili la kikwetu tulichezalo shule au kwenye vibaraza vya mitaani kama ipo software au game yake inayoweza kuchezwa kwenye PC kama ilivyo Chess ,ni hilo tu.
Daraft la aina gani maana nimeyacheza sana kuna linaltwa french na lingine british.
Huna haja ya kuwa na software unaweza kucheza magem haya online na watu real kabisa sehemu mbali mbali za dunia . Yahoo wanatumia jina checkers
- Yahoo nenda kwenye games chagua board games nadhani ipo utakutana na membo na unachagua room unashirki mechi na member yeyote. Yahoo! Games - Games and Online Games
- Draught au draft nimewai kucheza zamani site moja inatwa PlayOK - Draughts - Play online, free!. ukijisajili unacheza au unaweza kucheki watu wanacheza online. Ni free
Kuhusu software kuna software moja inaitwa play buddy. sikumbuki vizuri jaribu ku google .
Kuna software moja nimesahau jina ukimfunga msichana anakuvulia nguo unavyozidi kumfunga anavua zote
teh teh teh
Kuna software moja nimesahau jina ukimfunga msichana anakuvulia nguo unavyozidi kumfunga anavua zote
teh teh teh
Zipo nyingi tu. Ni pm nikutumie.