Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
Maduka ya generator maeneo gani yapo moshi?Andaa laki 4.5 mpaka 5 ,tembelea maduka ya generator mjin Moshi au Arusha mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada wa picha yake tafadhaliNunua BOSS nchi 3 sh.300000-320000.iko vizuri mi naitumia yani urafurahi inamwaga maji hatari.