Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
shukrani mdau Peter LemiNauza.co.tz
Kama uko dar nenda pale chimala house lile.refu karibu na hospital ya ocean road kuna jamaa wamefungua easybuy pale kwa kulink na amazon, ebay n.kHabarini wadau wote. Ninataka kununua baadhi ya bidhaa online. naomba mnisaidie kunitajia websites za hapa Tanzania zinazouza vitu online. websites ninazozijua ni Kaymu, Kivuko, Jumia na Shopping TZ. je kuna websites zingine tukiacha hizi zinazouza pia vitu online. ningependa kujua websites mbalimbali ili niwe nina uchaguzi mkubwa wa vitu. nitaappreciate kwa michango yenu
Siko Dar mkuu, je wana website yao unaijua?Kama uko dar nenda pale chimala house lile.refu karibu na hospital ya ocean road kuna jamaa wamefungua easybuy pale kwa kulink na amazon, ebay n.k
Sina hakika but you can search easybuy ndio brand yaoSiko Dar mkuu, je wana website yao unaijua?
Asante mkuuSina hakika but you can search easybuy ndio brand yao