Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya kuchinja miaka yote inajulikana wanachinja waislamu.Nenda Kimara na Mbezi.
Morogoro road ila msimu huu wachaga wengi wanaenda kuhesabiwa Moshi sijui nani atachinja kitimoto.??
We acha masihara kwani wanaochinja siku zote mpaka wanafanya fujo wameisha ausijui nani atachinja kitimoto.??
Jicheke. Kitimoto wanachinja waislamu?Kazi ya kuchinja miaka yote inajulikana wanachinja waislamu.
Yuko sawa kabisa hata hukuJicheke. Kitimoto wanachinja waislamu?
SijakuelewaYuko sawa kabisa hata huku
Atachinja ntobiNenda Kimara na Mbezi.
Morogoro road ila msimu huu wachaga wengi wanaenda kuhesabiwa Moshi sijui nani atachinja kitimoto.??
Nenda msikiti wowote ulio karibu nawe watakuonyesha machinjio.ya nguruwe yalipoNaulizia machiinjio ya kitimoto jamani katika Jiji hili la Dar es Salamaa
Twende tukale supu ya masikioNaulizia machiinjio ya kitimoto jamani katika Jiji hili la Dar es Salamaa
Mtu anajiita pdidy na ww unakuja unamwambia unakulaga pumbu za nguruwe,hauogopi?? atakuja PM ukale na zake shaur akoHahahaha m napendagaa pumbu zile zikivhomwaaa weee