Naulizia machiinjio ya kitimoto JAMAN dar es salamaa

Nenda Kimara na Mbezi.
Morogoro road ila msimu huu wachaga wengi wanaenda kuhesabiwa Moshi sijui nani atachinja kitimoto.??
 
Yapo kibao, karibu na Chuo kikuu upande wa chini, na magengeni Bulumaww
 
Subiri mfungo utakuwa walaji waziri WA kitimoto na lodge
 
Nenda kinyerezi ,kituo Kona,unaingia kushoto,kuna machinjio kwa siku wanaangusha ata nguruwe 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…