Naulizia Machimbo ya Spare Parts za Pikipiki Kariakoo

Naulizia Machimbo ya Spare Parts za Pikipiki Kariakoo

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Posts
2,365
Reaction score
2,732
Habari ya wakti huu wakuu,

Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN.

Asante.
 
Habari ya wakti huu wakuu,

Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN.

Asante.

mkuu kama uko Dar kuna mwamba hapo kkoo mtaa wa swahili atakukalishia,Ukiona duka la MK(Menlack Sanga) umefika,ushindwe wewe.Namsukumia mzigo kama upepo toka China
 
Back
Top Bottom