Ngoja niweke kambi hapa.Habari ya wakti huu wakuu,
Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN.
Asante.
Habari ya wakti huu wakuu,
Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN.
Asante.
Kama Mwanza tafuta EN(Nenula General supplies) Afu rudi unishukuru😀😀Habari ya wakti huu wakuu,