Naulizia majina kwa walio appeal Bodi ya Mikopo 2014/15

3024

Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
45
Reaction score
4
habari wakuu, nauluza wallio apeal bodi ya mikopo 2014/15 majina yanatoka lini au yako wapi ili tujue tunawalipia ada vijana wetukwa ajili ya semester y pili au tuwasubiri wao, wengine walisema yapo vyuoni mbona vyuoni hakuna?kijana anasoma udom na udom walitoa taarifa juzi alhamis kua majina hawajapata.
 
Kwa mimi ninayesoma chuo kikuu cha Dar es salaam niliona tangazo linalohusu wale walio-appeal kwenye ofisi inayohusika na mambo ya mikopo walisema hivi kwa wale wote walio-appeal majina bado hajatoka kwahiyo wajilipie ada kwa gharama zao binafsi mpaka pale watakapopata majina kutoka bodi ya mikopo na watayatangaza.
 

asante kwa taarifa mkuu
 
majiana yalishatoka muda mrefu sana.mi ni mmojawapo hapa udsm loan officer alitwambia kuwa board iliwataka radhi walioapeal kwani wanadai eti tangazo lilitoka kimakosa kwa hiyo hiyo taarifa haikushughulikiwa na hakuna mabadiliko yaliyofanyika namaanisha hakuna aliyepata.NOTE Achana na masihara ya baadhi ya wanajamvi wanaodai walipata hata Mimi mwanzoni walinishtua lakini tulipomuuliza loan officer akatupa jibu hilo.aitushauri tuombe upya labda ndo njia iliyopo.
 
Uku chuon kwetu ruco yapo na watu wameambiwa wapeleke reg no na bank account waingiziwe pesa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…