Naulizia Makampuni yanayohusika na usafirishaji wa mizigo kwenda Oman

Naulizia Makampuni yanayohusika na usafirishaji wa mizigo kwenda Oman

Aman Ismail

New Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
4
Reaction score
0
Habari ndugu jamaa na Marafiki.

Naulizia Makampuni Yanayohusika Na Usafirishaji wa Mizigo kwenda Oman kwanjia ya maji na Anga. Naomba mwenyekufahamu anijuze, au mwenyeujuzi wa maswala ya usafirishaji wa mizigo kutoka Tanzania kwenda oman anijuze.

Asante.
 
Wako ndugu zao wengi Zenj. Lazima kuna namna ya kupeleka mizigo kule kwani siku hizi Sultan wao Jamshid karudi yuko huko lazima wanampelekea urojo!
 
Habari ndugu jamaa na Marafiki.

Naulizia Makampuni Yanayohusika Na Usafirishaji wa Mizigo kwenda Oman kwanjia ya maji na Anga. Naomba mwenyekufahamu anijuze, au mwenyeujuzi wa maswala ya usafirishaji wa mizigo kutoka Tanzania kwenda oman anijuze.

Asante.
@Moderator msaidie kupeleka hii kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko..
 
Back
Top Bottom