Habari ndugu jamaa na Marafiki.
Naulizia Makampuni Yanayohusika Na Usafirishaji wa Mizigo kwenda Oman kwanjia ya maji na Anga. Naomba mwenyekufahamu anijuze, au mwenyeujuzi wa maswala ya usafirishaji wa mizigo kutoka Tanzania kwenda oman anijuze.
Asante.