Wakuu naomba mwenyewe uzoefu wa masafa ya mataifa ya Afrikaa anipe Bei ya nauli ya Burkina Faso ni usafiri gani mzuri niutumie Kuna mzigo naenda kufuatilia
Kwani mpaka uende, Fanya ebusiness benki ya bongo itawasiliana na benki ya kule jukufanyia guarantee ya malipo mzigo ukifika na ukajiridhisha kama ni mzigo halali ulioutaka.