Godwin Mneng'ene
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 215
- 86
Naomba kujulishwa kuhusu usaili wa written nhif uliofanyka kule ukumbi wa baraza la maaskofu
kurasini walishaitwa kwenye oral? manake ni kamda kamepita tokea usaili huo ufanyike.
Mtu unaweza kuwa unasubiri kumbe watu wameshaajiriwa.
Naomba kujulishwa tafadhali kwani na mimi nilifanya hiyo written
kwa ajili ya nafasi ya senior admnistrative officer.
Nawasilisha kwa ufahamisho.