Naulizia saluni nzuri ya kike moshi mjini

viane

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
79
Reaction score
19
Tafadhali anayefaham salun nzuri ya kike moshi mjini naomba aniambie iko maeneo gani na jina lake. Wanaojua kusuka na kubondi. Tunakuja harusini huko na sisi ni wageni pande hizo.
 
Pia km unafaham sehemu wanaposuka sangita tafadhali
 
nenda kibosho ukanyweshwe damu ya nguruwe wewe,moshi hakunaga saloon ni mji wa wagumu
 
KGM Saloon utapata huduma hizo
 
Tafadhali anayefaham salun nzuri ya kike moshi mjini naomba aniambie iko maeneo gani na jina lake. Wanaojua kusuka na kubondi. Tunakuja harusini huko na sisi ni wageni pande hizo.

Njoo Dar kuna saloon zinanyoa mpaka nywele za huko kwenye K. Pesa yako tu na uvumilivu wa mhemuko ndiyo vinatakiwa
 
Ulizia Kilimanjaro Salon,ipo opposite General Tyre au karibu na Tanesco...Wako vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…