Naulizia sehemu wanapouza PS 4 slimu kwa bei poa

Naulizia sehemu wanapouza PS 4 slimu kwa bei poa

Joseph 44

Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
49
Reaction score
21
Poleni Na majukumu mazito ya hapa na pale wakuu.

Mimi nauhitaji wa Playstation 4 aina ya slimu kama kuna mdau anapajua mahali ambapo Consoles hizo orijino zinapouzwa anisaidie bei isizidi laki 5 shukrani🙏

633ffd91fd8d656b5e4f9579-newest-ps4-playstation-4-1tb-slim-gaming.jpg
 
Laki tano slim dukani hupati.

Dukani kuanzia laki saba na nusu hadi saba. Laki tano utapata za mikononi ambazo hazina guarantee kivile japo PS4 Slim hazina changamoto kivile.
 
PS4 SLIM BEI YAKE 750K hadi 700K unapata. Hizi ni zie wanaita used from Dubai au UK.

Kwahiyo bajeti yako labda utafute za mkononi utapata hasa mwezi huu wa 12 watu wanauza sana.
Na vipi mpya kabisa naipata kwa bei gani mkuu
 
Mpya hapa Bongo hamna, labda uagize nje.

inaweza kuwa kwenye 850K hadi 800K. Sina uhakika.
 
Back
Top Bottom