Ungetueleza unatumia vigezo gani kujua shule bora halafu tukutajie. Je, unatumia kigezo cha Uwepo wa Walimu wazuri, Majengo mazuri, Vifaa vya kufunzia, ufaulu wa wanafunzi, uwepo kando ya Mlima Kilimanjaro au UBORA kwa kigezo kipi?Funguka tafadhali, watanzania bado hamjui hata kuuliza maswali jamani!!!!!!!