Naulizia upatikanaji wa IPHONE Bongo

Naulizia upatikanaji wa IPHONE Bongo

Mchana

Senior Member
Joined
Sep 27, 2007
Posts
183
Reaction score
16
Wakuu heshima kwenu. Tunaomba mtujulishe ni wapi mtu anaweza kupata apple IPHONE kwa bei nzuri hapa bongo, new/used? 2G / 3G. Pia mliokwisha kuzitumia tupeni wasifu wake hasa kuhusu uwezo wa betri yake na speed yake katika kufungua kurasa za mitandao
 
Nadhani SAPNA, na duka linalofuatana nalo wanazo hizo IPHONE. Hapo ni karibu na Askari monument.
 
Back
Top Bottom