Wakuu heshima kwenu. Tunaomba mtujulishe ni wapi mtu anaweza kupata apple IPHONE kwa bei nzuri hapa bongo, new/used? 2G / 3G. Pia mliokwisha kuzitumia tupeni wasifu wake hasa kuhusu uwezo wa betri yake na speed yake katika kufungua kurasa za mitandao