Naulizia wakala wa usafirishaji mzigo kutoka Thailand

Naulizia wakala wa usafirishaji mzigo kutoka Thailand

pmas

Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
18
Reaction score
2
Habari!!
Kuna ndugu yangu yuko Thailand, anataka kutuma mzigo wa nguo Tanzania. Naulizia ni wakala (kampuni n.k) gani wa usafirishaji wa mizigo kutoka Thailand kuja Tanzania amtumie ili niweze kuupata bila usumbufu?
Asante
 
Ngoja nikuitie MONEY stunna aje kukupa msaada. Pia search uzi kuhusu biashara ya nguo kutoka Thailand kuna wadau watakupa abcd,..
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikuitie MONEY stunna aje kukupa msaada. Pia search uzi kuhusu biashara ya nguo kutoka Thailand kuna wadau watakupa abcd,..

Nimeufatilia vizuri, kuna sehemu wameandika Home shopping centre, lakini inaonekana kama hawana ofisi kule.
 
Last edited by a moderator:
Nimeufatilia vizuri, kuna sehemu wameandika Home shopping centre, lakini inaonekana kama hawana ofisi kule.

Ukipata mkuu pliz let me know niko kwenye mchakato huo pia. Nikipata itakueleza pia.
 
Back
Top Bottom