P pmas Member Joined Apr 4, 2014 Posts 18 Reaction score 2 Apr 7, 2014 #1 Habari!! Kuna ndugu yangu yuko Thailand, anataka kutuma mzigo wa nguo Tanzania. Naulizia ni wakala (kampuni n.k) gani wa usafirishaji wa mizigo kutoka Thailand kuja Tanzania amtumie ili niweze kuupata bila usumbufu? Asante
Habari!! Kuna ndugu yangu yuko Thailand, anataka kutuma mzigo wa nguo Tanzania. Naulizia ni wakala (kampuni n.k) gani wa usafirishaji wa mizigo kutoka Thailand kuja Tanzania amtumie ili niweze kuupata bila usumbufu? Asante
Kisima JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,114 Reaction score 4,486 Apr 7, 2014 #2 Ngoja nikuitie MONEY stunna aje kukupa msaada. Pia search uzi kuhusu biashara ya nguo kutoka Thailand kuna wadau watakupa abcd,.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ngoja nikuitie MONEY stunna aje kukupa msaada. Pia search uzi kuhusu biashara ya nguo kutoka Thailand kuna wadau watakupa abcd,..
P pmas Member Joined Apr 4, 2014 Posts 18 Reaction score 2 Apr 7, 2014 Thread starter #3 Kisima said: Ngoja nikuitie MONEY stunna aje kukupa msaada. Pia search uzi kuhusu biashara ya nguo kutoka Thailand kuna wadau watakupa abcd,.. Click to expand... Nimeufatilia vizuri, kuna sehemu wameandika Home shopping centre, lakini inaonekana kama hawana ofisi kule. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kisima said: Ngoja nikuitie MONEY stunna aje kukupa msaada. Pia search uzi kuhusu biashara ya nguo kutoka Thailand kuna wadau watakupa abcd,.. Click to expand... Nimeufatilia vizuri, kuna sehemu wameandika Home shopping centre, lakini inaonekana kama hawana ofisi kule.
B Bobby JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 2,182 Reaction score 1,896 Apr 7, 2014 #4 pmas said: Nimeufatilia vizuri, kuna sehemu wameandika Home shopping centre, lakini inaonekana kama hawana ofisi kule. Click to expand... Ukipata mkuu pliz let me know niko kwenye mchakato huo pia. Nikipata itakueleza pia.
pmas said: Nimeufatilia vizuri, kuna sehemu wameandika Home shopping centre, lakini inaonekana kama hawana ofisi kule. Click to expand... Ukipata mkuu pliz let me know niko kwenye mchakato huo pia. Nikipata itakueleza pia.
P pmas Member Joined Apr 4, 2014 Posts 18 Reaction score 2 Apr 7, 2014 Thread starter #5 Bobby said: Ukipata mkuu pliz let me know niko kwenye mchakato huo pia. Nikipata itakueleza pia. Click to expand... haina shida!
Bobby said: Ukipata mkuu pliz let me know niko kwenye mchakato huo pia. Nikipata itakueleza pia. Click to expand... haina shida!