Naumbea

Naumbea

bigboss1

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
319
Reaction score
195
Leo nilipokuwa naenda mjini nilikuwa kwenye toyo sasa kufika karibu na hapo kuna mawili pembeni kuna mdada alikuwa anapita mzuri wezere kila kitu mweupe kama nini gugu yaani kama msomali sasa wa magari wa taxi na wengine wote wamamuangalia kuna huyo mkaa mmoja alikuwa anatembea mbali kidogo upande mwingine nayule mdada yupo huku alimwangalia yule kaka akadondoka kwenye mtaro mwingine kwenye gari alimuangalia mpaka nusu apate ajali naalikuwa na mke wake alimpiga kofi mpakA akapaki kwanza tukasikia brekii akazabwa lingine lingine akanyongwa akatolewa kwenye gari uliona wakunioa nakuniweka kama sanamu uangalie wanawake wengine pah lingine huku yule mwingine anaharibu kutoka kwenye mtaroo yaani nilicheka mpaka watu wakamwombea mwenzao msamaha ikaisha ila kweli alitishia amanii. Hadi kupigwa watu .
 
Hahaha zipo nukta 2,hakuna hata mkato
 
Aliyekuwa akipita hanyi? Wataalam wanaseme mwanamke mzuri MKEO huyo ukimfuata utatumbukia mtaroni
 
Back
Top Bottom