mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 208
Mwambie hujui....si ndo ukweli huo?
sipendi kumpa jibu hilo,coz ntamvunja Moyo wa udadisi,that's why nimekimbilia Huku,ili nipate majibu ya kumwambia mkuu
Kipo iko hivi. wakati mtoto akiwa na miezi minane rate ya metabolism inakuwa kubwa sana hivyo akizaliwa mwili wake unashindwa kuhimili
Mwambie kuwa huo ni uongo mkubwa. Si kweli, hakuna sababu ya kisayansi zinazosupport hiyo kitu. Naongea hivyo kama daktari ambae nina uzoefu wa kutibu na kuwahudumia watoto njiti. By any means na kwa experience yangu binafsi njiti wanaozaliwa na miezi nane wana survival rate kubwa kuliko wa miezi saba.Nakaa na mtoto wa kaka yangu hapa kwangu, ghafla kaniuliza swali, hivi Baba eti kwanini mtoto akizaliwa na miezi Saba anaishi lakini akizaliwa na miezi nane anakufa? Naomba sababu za kisayansi, kwa kuwa sijawahi kufuatilia sababu za jambo hilo, nikamwambia nitakujibu baadaye kidogo, kwa sasa Nina haraka, nikaondoka.
Naombeni mnisaidie wataalamu niondokane na kaaibu kanakoninyemelea.
Nakaa na mtoto wa kaka yangu hapa kwangu, ghafla kaniuliza swali, hivi Baba eti kwanini mtoto akizaliwa na miezi Saba anaishi lakini akizaliwa na miezi nane anakufa? Naomba sababu za kisayansi, kwa kuwa sijawahi kufuatilia sababu za jambo hilo, nikamwambia nitakujibu baadaye kidogo, kwa sasa Nina haraka, nikaondoka.
Naombeni mnisaidie wataalamu niondokane na kaaibu kanakoninyemelea.
Mwambie ni mipango ya MUNGU..............