KV LONDON jina lako limenigusa kwa namna moja au nyingine lol!Wrong forum, peleka habar yako kwny jukwaa la mapenzi na mahusiano, hili ni jukwaa la siasa, jifunze kusoma na kuelewa. By the way pole kwa mkasa uliokupata na chamsingi muite uongee naye ndiyo njia pekee ya kuleta maelewano kama hakutaki tena basi.
Wadau habari,nina mchumba wangu ambaye uchumba wetu ni wa miaka 3.Mimi ni mfanyabiashara yeye amemaliza chuo mwezi huu.Wakati anasoma chuo mimi ndio nilikua namsupport ada pamoja na mahitaji mengne.Naumia moyoni kwa sababu alipokua chuo na mpaka sasa uku nyumbani huwa anatabia ya kuchat na jamaa mmoja waliosoma wote kupita kiasi afu ni romatic chat.Kinachoniuma mm ni kwamba nimeshalipa mahari kwao na tutafunga ndoa miezi 5 ijayo why asichat na mimi mume wake mtarajiwa before hajafahamiana na uyo jamaa tulikua tunachat mpaka sasa 6 ucku.Je wadau hapo kuna upendo kweli?Au nimuoe afu nimpige taraka?.Naomba kuwasilisha.
hii sio solution.ameshakuona humfai tena.iweje mwanzo muwe mna chati usiku,baadae aanze kuchati na mwengine?mwambie achague mmoja,kama ni wewe,aachane kuchati na huyo jamaa na kama huyo jamaa,ndoa isiwepo tena.otherwise utaishia kujitesa tu,kisa mapenziGood idea nataka nikishamuoa nimpige mimba 2 za haraka nitakua nimeshamkatia network zote
Mh, pole ingawa ur in a wrong forum.
mmh, huo ni mtihani mkuu...
mkalishe chini mpige shule kwamba hupendi tabia yake ya kuchat na
vidume vingine... asipoelewa somo, anza kuchukua hatua
Nani kakudanganya! Kwani hizo mimba atabeba milele? Kama tabia zake huzipendi na harekebishiki muache mapema,usije kutesa watoto wako bure.
Good idea nataka nikishamuoa nimpige mimba 2 za haraka nitakua nimeshamkatia network zote