ni dalili za maambukizi kwenye njia ya mkojo na je kwenye kinena kuna maumivu?unakojoa mara nyingi na kama wewe mwanamke una mimba?nakushauri nenda hospitali ya karibu kupima mkojo na ushauri zaidi wa daktari
pole sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.