Heshima kwenu,
Simba wenzangu Hawa watu wanaweza wakatupeleka nusu fainali ijayo kweli wakiwapa muda au waondoke?
1: saidoo
2😱nana
3: jobe
4: fredy
5:mikson
6: taja mwingine
Na uwe ivyoMsimu ujao MO anasajili timu nzima usijali...anabaki Ngoma tu
Saidoo mnamuonea sana. Alisajiliwa Simba ili akawe back up na kuongeza nguvu kwenye timu. Ila kutokana na ubovu wa kikosi chenu, amejikuta ni tegemeo. Ila kwa umri wake na energy anayotoa, anajitahidi sana. Mkiwa na kikosi kizuri, Saidoo ni back up nzuri.Heshima kwenu,
Simba wenzangu Hawa watu wanaweza wakatupeleka nusu fainali ijayo kweli wakiwapa muda au waondoke?
1: saidoo
2😱nana
3: jobe
4: fredy
5:mikson
6: taja mwingine
Waondoke tu.Heshima kwenu,
Simba wenzangu Hawa watu wanaweza wakatupeleka nusu fainali ijayo kweli wakiwapa muda au waondoke?
1: saidoo
2😱nana
3: jobe
4: fredy
5:mikson
6: taja mwingine
😂😂😂 kweli kabisaWazee tupu
Ayoub aondoke??wengi Kapombe,Tsabalala,Chama,Kanoute,Onana,Muzamiru,kwa kifupi ni timu nzima.wakubaki ni Babacar,Malone,Inonga na Ngoma.
Manula asepe,Ally Salim apewe mechi nyingi za ndani,Ayoub ni kipa hasa yule kiumbe.Ayoub aondoke??
Nyie mliopanga kikosi mtacheza na nani nusu fainali 🤔Tatizo mliwekeza kwenye kulilia mpewe ndege badala ya kupanga kikosi 🤣🤣🤣🤣