Naumwa jamani; Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua

Naumwa jamani; Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Nina week sasa napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi panauma sana kwa ndani ni ugonjwa gani wakuu kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospitali natafuta mpenzi wa kunipeleka.
 
Dawa yake ni kupigwa ngumi na mashine mpaka unitafute ndio utafaniwa
 
Back
Top Bottom