Naumwa jamani; Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua

nina week sasa Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi.panauma sana kwa ndani.ni ugonjwa gani wakuu.
kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospital natafuta mpenzi wa kunipeleka
Pole sana ila nadhan kwa kanuni za afya ni kheri ukawaone wataalamu wa afya,naamini watakuwa na msaada zaidi.
 
nina week sasa Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi.panauma sana kwa ndani.ni ugonjwa gani wakuu.
kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospital natafuta mpenzi wa kunipeleka

Unasumbuliwa na Ugonjwa mbaya sana uitwao ' Nyegeling ' na dawa yake ya haraka inaitwa ' Mkuyengeling ' Mkuu. Itafute haraka ili uweze kupata nafuu kama siyo kupona kabisa.
 
nina week sasa Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi.panauma sana kwa ndani.ni ugonjwa gani wakuu.
kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospital natafuta mpenzi wa kunipeleka

Ngoja kwanza ni reserve pole yangu nitakupa baadae, hahahahahahahahahahahhaa😛😛😛
 
nina week sasa Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi.panauma sana kwa ndani.ni ugonjwa gani wakuu.
kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospital natafuta mpenzi wa kunipeleka
Pole sana,,,
Tatzo lako si kubwa na si ndgo,,
Kuna dawa hapa ya kunywa na kupaka
Njoo uchukue itakufaa sana
 
nina week sasa Napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi.panauma sana kwa ndani.ni ugonjwa gani wakuu.
kuhusu kwenda hosptali naogopa sana hospital natafuta mpenzi wa kunipeleka

Mtu mzima hospitali mpaka upelekwe kumbe Tuna watoto wa primary humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…