Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Duduwasha akili yako na Avatar yako uliyoweka vinakwenda sambamba samahani kama nitakukwaza wewe unafikiri mtu mwenye jina la (ellyrehema) ni mwanamme? hata kama kuna Mgomo wa Ma Daktari huko muhimbili ulitaka nimwambie aende kwa Waganga wa kienyeji? au aje kwako mkuu? Duduwasha acha kukojolea chakula utalanika wewe.Mkuu maneno yako wakati fulani yakupasa upime hilo jina kwa uzoefu wangu ni la kiume na sio sawa kumuita bibie...
Kumshauri aende Muhimbili mmh! kwani mgomo mkubwa wa Madaktari ni vitendea kazi haswa mashine za kupimia n.k sidhani kama anaweza pata hivyo vipimo na akaja pona sawia kwa uzoefu mkubwa watu waendao muhimbili huambiwa wakafanye vipimo kwenye hospital binafsi na majibu wawaletee pale muhimbili na hii Madaktari wetu wliona ni kadhia iliyosababishga migomo
Last edited by a moderator: