Naumwa maziwa nisaidieni.

Maria Nyamhanga

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
130
Reaction score
25
Naomba msaada.. mimi ninamtoto wa miezi mi 3.
nanyonyesha, lakini ajabu toka jana maziwa yananiuma sana! na yamekuwa magumu sana. Tatizo nini?
 
Mastitis inasababishwa na mtoto kutokunyonya maziwa yote. anabakiza maziwa mengi ndani, ambayo yanasababisha kuzaliana kwa bacteria. Ni vema uende hospitali mapema. Lakini kikubwa sana kama mtoto wak hanyonyi sana, unatakiwa uwe unayakamua. Usiyaache maziwa mengi ndani.
 
Kamuone Daktari na wala usichelewe maana nyinyi wazaramu kwa ngoja ngoja hamjambo
 
Mtoto ananyonya sana lakini bado magumu na yanauma..

Kama mtoto ananyonya na bado una maziwa mengi unaweza kukamua na kuhifadhi maziwa ya mama huwezi kuhifadhiwa hadi miezi 6 yakiwa freezed.... kwenye vimfuko na kutumika wakati huna maziwa ya kutosha. kwa kuwa magumu na kuuma ni vyema ukaenda hospitali dakatari akawezo kuona na kushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…