Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina miaka 29 hospital nimuone dr wa mifupa au yeyote? Yan unauma sana natembelea fimbo kuusapotUna umri gani? Rudi tena hospital.
Pole. Kama ulisha tibiwa hospital basi tatizo lalishe zaidi.Ni matatizo ya kawaida kwa wazee,kina mama na wenye rishe zisizo kamilika. nk. tafuta suppliments foods au ushauri zaidi 0689 417 472
Nina shida kama hiyo nimetumia suppliement za madini ya Calcium sioni nafuu. Tatizo lenyewe nikikaa kwa muda mrefu nasikia maumivu ya misulu mguu wa kushoto nyuma ya goti