Naumwa mguu hasa sehemu za kwenye nyonga

leirilwa

Senior Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
118
Reaction score
22
Jamani mguu unaniuma sana kwenye nyonga nimeenda hospital nimepewa dawa ya maumivu na kufanyishwa mazoezi (physiotherapy) lakini sina nafuu.

Naombeni kama kuna mtu anaelewa hili tatizo anisaidie.
 
Pole sana hlo ttzo dawa zipo na znaondoa kbsa ttzo.kwa ushaur au tiba zaidi piga number 0712757453
 
Pole. Kama ulisha tibiwa hospital basi tatizo lalishe zaidi.Ni matatizo ya kawaida kwa wazee,kina mama na wenye rishe zisizo kamilika. nk. tafuta suppliments foods au ushauri zaidi 0689 417 472
 
Una umri gani? Rudi tena hospital.
 
Pole. Kama ulisha tibiwa hospital basi tatizo lalishe zaidi.Ni matatizo ya kawaida kwa wazee,kina mama na wenye rishe zisizo kamilika. nk. tafuta suppliments foods au ushauri zaidi 0689 417 472

Nina shida kama hiyo nimetumia suppliement za madini ya Calcium sioni nafuu. Tatizo lenyewe nikikaa kwa muda mrefu nasikia maumivu ya misulu mguu wa kushoto nyuma ya goti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…