Naumwa, mnaonipenda niombeeni dua.

Mi siogopi kufa najua ni
wajibu,ila naomba mungu aniongezee uhai ili wanaonitegemea nao wasogee
mbali,afterall, nilisema wanaonipenda,sasa kama hunipendi nini
kimekuwasha! Achana na mimi!

teh teh teh teh teh,mkono mmoja huo ndo unaojibu mineno yote hyo,pole lakini kiongozi,najua nakutonesha ila utapona tu,nickutie presha bure,lala kaka,c unaumwa wewe
 
teh teh teh teh teh,mkono mmoja huo ndo unaojibu mineno yote hyo,pole lakini kiongozi,najua nakutonesha ila utapona tu,nickutie presha bure,lala kaka,c unaumwa wewe
Sasa si ungejibu hivyo bana! Mpaka dripu imechomoka kwa hasira bana! Haya asante,mara nyingine usimwambie mtu mwenye malaria na presha hivyo!
 
Utapona tu Inshallah. Nitakuombea dua usijali.
Kunywa maji mengi, matunda na mboga majani
 
Be blessed upone upesi na ukaendelea na majukumu yako ya kil asiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…